Gurudumu la Uchumi
Biashara ya Samaki nchini Tanzania na kwenye nchi za ukanda
Imechapishwa:
Cheza - 09:27
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia namna biashara ya Samaki kwenye nchi za Afrika Mashariki inavyoendelea kukua na kutegemewa kutoa ajira na wananchi wa mataifa husika. Juma hili tunalitazama soko la kimataifa la Kirumba Mwaloni lililoko jijini Mwanza nchini Tanzania.