Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Kenyatta achaguliwa tena Kenya upinzani wakimbilia mahakamani kupinga matokeo

Imechapishwa:

Uchaguzi mkuu wa Kenya ulifanyika hivi karibuni na Rais Uhuru Kenyatta kutangazwa kuwa rais mteule lakini upande wa upinzani umekimbilia mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi huo ukidai kufanyika udanganyifu. Je nini mustakabali wa nchi ya Kenya baada ya uchaguzi huo? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupata undani wa mada hiyo.

Rais mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta (Kushoto) na kiongozi wa NASA, Raila Ondinga (Kulia)
Rais mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta (Kushoto) na kiongozi wa NASA, Raila Ondinga (Kulia) TONY KARUMBA, SIMON MAINA / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.