Gurudumu la Uchumi
Marudio ya makala na watu wenye ulemavu kutoka Wonder Workshop Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 09:41
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inakuletea marudio ya makala ya watu wenye ulemavu wanaotengeneza vifaa mbalimbali kwa kutumia vyuma kama sanaa, marudio haya ni kutokana na maombi ya wasikilizaji wetu waliotaka kujifunza kutoka kwao.