Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Athari za kiuchumi za ongezeko la watu duniani

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia siku ya kimataifa ya idadi ya watu duniani ambayo huadhimishwa kila tarehe 11 ya mwezi Julai, kauli mbiu ya mwaka huu ilikuwa ni kuhusu kuhamasisha uzazi wa mpango, kuwawezesha watu na kuleta maendeleo ya nchi.Mtayarishaji wa makala hii, amezungumza na mtaalamu wa masuala ya uchumi, Dr Wetengere Kitojo kuangazia athari za kiuchumi za ongezeko la idadi ya watu kwenye nchi na namna bora ya kudhibiti ongezeko la watu kwa kwenda sambamba na ukuaji na mgawanyo wa rasilimali za nchi.

Picha ikiwaonesha maelfu ya wahamiaji kutoka nchi mbalimbali duniani
Picha ikiwaonesha maelfu ya wahamiaji kutoka nchi mbalimbali duniani Eric FEFERBERG / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.