Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Tatizo la ajira kwa vijana na namna viongozi wa Au wanavyojaribu kukabiliana nalo

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia kilichojiri kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika waliokuwa wanakutana jijini Addis Ababa Ethiopia, ambapo moja ya suala lililojadiliwa kwa kina ni tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana na kusaka mikakati ya kukabiliana na janga hili.Mtayarishaji wa makala hii amezungumza na Naamala Samson, mwanaharakati wa masuala ya vijana na Meneja mafunzo kutoka shirika la kimataifa la maendeleo ya vijana BRAC nchini Tanzania.

Picha ya pamoja ya wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika
Picha ya pamoja ya wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika en.people.cn
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.