Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 27/05 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 27/05 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 27/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Hali ya uchumi wa DRC miaka 20 baada ya kuanguka kwa utawala wa Mobutu wananchi wanasemaje

Hali ya uchumi wa DRC miaka 20 baada ya kuanguka kwa utawala wa Mobutu wananchi wanasemaje
 
Mobutu Sese Seko rais wa zamani wa DRC hapa ilikuwa tarehe 9 Desemba 1984 akiwa na rais wa Ufaransa François Mitterrand. AFP/Georges Gobet

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia miaka 20 baada ya kuanguka kwa utawala wa aliyekuwa rais wa DRC wakati huo ikiitwa Zaire Mobutu Sese Seko, na hii ilikuwa ni siku ambayo Desire Kabila aliipindua Serikali yake.

Katika miaka hii 20 DRC inakipi cha kujivunia kiuchumi na maendeleo? Ungana na mtangazaji wa makala haya Emmanuel Makundi ambaye anazungumza na wataalamu wa masuala ya maendeleo na raia wa DRC.

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana