Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 29/06 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 29/06 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 28/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Ufaransa watakavyomkumbuka Fraoncois Hollande

Ufaransa watakavyomkumbuka Fraoncois Hollande
 
Rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron akiagana na François Hollande aliyemaliza muda wake REUTERS/Yoan Valat/Pool

Francois Hollande aliyekua rais wa Ufaransa amemaliza muda wake na kuiaga Ikulu ya Ufaransa na kumwachia kijiti Rais mpya Emmanuel Macron ambaye sasa anachkua usukani wa kuiongoza nchi hiyo. Pamoja na kuondoka kwake Francois Hollande historia ya nchi hiyo itamweka katika kumbukumbu. Je rais huyo wa mstaafu atakumbukwa kwa yapi? Fuatilia Makala haya ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile kupata undani wa mada hivyo.

 

 • Umoja wa Mataifa waonya hali ya usalama Jamhuri ya Afrika ya Kati

  Umoja wa Mataifa waonya hali ya usalama Jamhuri ya Afrika ya Kati

  Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulisema kuwa nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati inabiliwa na ombwe kubwa la kiusalama na kwamba jitihada zaidi zinahitajika ili kusaidia …

 • Uchaguzi DRC bado njia panda

  Uchaguzi DRC bado njia panda

  Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia, DRC Joseph Kabila  alisema kuwa hajawahi kuahidi kuwa uchaguzi utafanyika lini na akasisitiza kuwa uchaguzi bora utafanyika …

 • Tofauti za kisiasa kumalizwa nchini Uganda

  Tofauti za kisiasa kumalizwa nchini Uganda

  Serikali ya Sweden iko tayari kuingilia kati mvutano wa kisiasa nchini Uganda na kuwasuluhisha wanasiasa wanaotofautiana yaani Rais Yoweri Museveni na mpinzania wake …

 • Serikali ya Burundi kugomea mazungumzo na hatima ya nchi

  Serikali ya Burundi kugomea mazungumzo na hatima ya nchi

  Mazungumzo ya amani ya Burundi yanaendelea kusuasua baada ya Serikali ya nchi hiyo kukataa kushiriki mazungumzo yaliyoitishwa Mjini Arusha na Mratibu wa usuluhishi na …

 • Rais mpya wa Gambia akabiliwa na changamoto

  Rais mpya wa Gambia akabiliwa na changamoto

  Rais mpya  wa Gambia amerejea nchini mwake kutoka nchini Senegal alikokimbilia baada ya hali ya kisiasa kuchafuku wakati Yahya Jammeh alipogoma kuachia  madaraka …

 • Obama na Trump watofautiana kiutawala

  Obama na Trump watofautiana kiutawala

  Kuondoka madarakani kwa Rais wa Marekani Barack Obama na kuingia madarakani kwa Donald Trump kumeibua mitizamo na hisia tofautitofauti miongoni mwa wananchi wa Marekani. …

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana