Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Changamoto na mafanikio ya kiuchumi ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili ameangazia miaka 53 ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania, licha ya muungano huu kudumu kumekuwa na changamoto za kiuchumi na kisiasa ambazo zimeendelea kushuhudiwa na kuleta sintofahamu kuhusu mgawanyo wa rasilimali na mgawanyo wa fedha za muungano.Mtangazaji wa makala haya amezungumza na mtaalamu wa masuala ya uchumi pamoja na yule wa kisiasa kuangazia changamoto na mafanikio ya muungano huu kiuchumi na kwa bara la Afrika.

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na mke wa rais wa kwanza wa Zanzibar Bi Fatuma Karume wakati wa sherehe za miaka 53 ya muungano. April 26, 2017
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na mke wa rais wa kwanza wa Zanzibar Bi Fatuma Karume wakati wa sherehe za miaka 53 ya muungano. April 26, 2017 Ikulu/Tanzania
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.