Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Uchaguzi wa urais kufanyika Jumapili Ufaransa, usalama waimarishwa

article Wagombea 11 katika uchaguzi wa urais Alhamisi, Aprili 20, 2017 katika mdahalo wa mwisho wa televiseni. AFP/Martin BUREAU

Kampeni rasmi za wagombea kumi na moja katika kinyang'anyiro hiki cha urais zilianzia Jumatatu 10 hadi Jumamosi Aprili 15 na Jumatatu 17 hadi Ijumaa Aprili 21.

Uchaguzi wa urais nchini Ufaransa umepangwa kufanyika Jumapili Aprili 23. Tayari polisi na askari wametumwa katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa minajili ya kuimarisha usalama.

Duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais nchini Ufaransa itafanyika Jumapili, Aprili 23.

Miongoni mwa wagombea hao ni pamoja na François Fillon, Marine Le Pen, Emmanuel Macron, Jean-Luc Melenchon, Benoit Hamon, Nicolas Dupont-Aignan, François Asselineau, Jean Lassalle, Philippe Poutou, Jacques Cheminade na Nathalie Arthaud.

Kura za maoni zinaonesha kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mgumu na wenye ushindani, huku karibu asilimia 30 ya wapiga kura wakiwa hawajaamua mpaka sasa watamchagua nani.

Kumbukumbu

Makala yetu ya hivi karibuni

Soma makala zaidi
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana