Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Mkutano wa kibiashara wa kwanza kati ya nchi ya Ufaransa na Tanzania

Imechapishwa:

Kwenye makala ya Gurudumu la uchumi juma hili tunaangazia mkutano wa kwanza wa kibiashara kufanyika kati ya nchi ya Ufaransa na Tanzania. Mengi yamezungumzwa kwenye mkutano huu lakini kubwa ni Tanzania kuwataka wawekezaji wasiogope kuja kuwekeza nchini Tanzania.

Makamu wa rais wa Tanzania Samia Suluhu akiteta jambo na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Malika Berak. April 3, 2017.
Makamu wa rais wa Tanzania Samia Suluhu akiteta jambo na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Malika Berak. April 3, 2017. Tanzania/VPO
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.