Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Tofauti za kisiasa kumalizwa nchini Uganda

Imechapishwa:

Serikali ya Sweden iko tayari kuingilia kati mvutano wa kisiasa nchini Uganda na kuwasuluhisha wanasiasa wanaotofautiana yaani Rais Yoweri Museveni na mpinzania wake Kiiza Besigye. Je jitahada hizo zinaweza kuwa mwarobaini kile kinachoendelea nchini Uganda? Ungana na Victor Robert Wile kupata undani wa mada hiyo katika Makala ya Wimbi la Siasa.

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na mpinzania wake Kizza Besigye
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na mpinzania wake Kizza Besigye RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.