Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Kuzuia mchanga wa madini kusafirishwa kwenda nje ya nchi, je kutainufaisha Tanzania

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kwa kina hatua ya Serikali ya Tanzania, kupiga marufuku kusafirishwa nje ya nchi kwa mchanga wowote wa madini kwaajili ya kwenda kuchanjuliwa. Badala yake Serikali inasema inaandaa utaratibu kuhakikisha inaupima kujua ni kiasi gani cha madini kilichomo.Wataalamu wa masuala ya uchumi na wachimbaji wenyewe wanamtazamo gani? Ungana na mtayarishaji wa makala haya kufahamu mengi. 

Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, akizungumza ikulu Dar es Salaam, alipokutana na rais wa Uturuki, Racep Tayyip Erdogan. Januari 23, 2017
Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, akizungumza ikulu Dar es Salaam, alipokutana na rais wa Uturuki, Racep Tayyip Erdogan. Januari 23, 2017 Screenshot/AzamTV
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.