Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Uganda yazindua kiwanda cha kusafisha dhahabu, Serikali yatangaza kuondoa mirabaha

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya juma hili amzungumza na mtaalamu wa masuala ya uchumi, Dr Wetengere Kitojo, ambapo amezungumzia umuhimu wa nchi wananchama za Afrika Mashariki kuanzisha viwanda vya ndani vya kuchakata bidhaa na kuzipa thamani kabla ya kuuzwa nje ya nchi, Jumatatuj ya tareh 20 nchi ya Uganda ilizindua rasmi kiwanda cha kusafisha dhahabu, lengo likiwa ni kujaribu kupunguza wimbi la biashara haramu ya dhahabu kwenye masoko ambayo sio rasmi.

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni wakati akifungua kiwanda cha kusafisha dhahabu
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni wakati akifungua kiwanda cha kusafisha dhahabu RFI/Gaël Grilhot
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.