Gurudumu la Uchumi
Athari ya biashara ya dawa za kulevya kwa uchumi na maendeleo ya nchi
Imechapishwa:
Cheza - 10:02
Mtangazaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili amezungumza na mtaalamu wa masuala ya uchumi Dr Wetengere Kitojo, ambapo wameangazia athari za kiuchumi kwa nchi hasa kutokana na kuendelea kwa biashara haramu ya dawa za kulevya kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki.Ndani ya makala haya utasikia uchambuzi wa kina kuhusu namna ambavyo biashara hii inaathiri uchumi, mzunguko wa fedha, jamii na ukuaji wa maendeleo.