Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/06 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/06 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Haraka
Kombe la Dunia 2018: Japani waibwagiza Colombia 2-1 na kuchukua nafasi ya kwanza katika kundi H

Athari ya biashara ya dawa za kulevya kwa uchumi na maendeleo ya nchi

Athari ya biashara ya dawa za kulevya kwa uchumi na maendeleo ya nchi
 
Sehemu ya mabegi na madumu yanayotumiwa na waraibu wa dawa za kulevya Reuters

Mtangazaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili amezungumza na mtaalamu wa masuala ya uchumi Dr Wetengere Kitojo, ambapo wameangazia athari za kiuchumi kwa nchi hasa kutokana na kuendelea kwa biashara haramu ya dawa za kulevya kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki.

Ndani ya makala haya utasikia uchambuzi wa kina kuhusu namna ambavyo biashara hii inaathiri uchumi, mzunguko wa fedha, jamii na ukuaji wa maendeleo.

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana