Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Vita ya dawa za kulevya Tanzania, amri ya Trump, Njaa na mgomo wa madaktari Kenya na uchaguzi wa Somalia

Imechapishwa:

Juma hili kwenye makala ya Mtazamo wako kwa Yaliyojiri wiki hii, tumeangazia yaliyojiri kwenye uchaguzi mkuu wa rais nchini Somalia, vita dhidi ya dawa za kulevya nchini Tanzania, amri ya rais wa Marekani kuhusu wakimbizi na raia kutoka nchi 7 za kiislamu, hali ya ukame na mgomo wa madaktari nchini Kenya.Mtangazaji wako Juma hili ni Emmanuel Makundi.

Wanawake nchini Somalia wakiwa wanasherekea ushindi wa rais Mohamed Abdullahi Mohamed, mjini Mogadishu
Wanawake nchini Somalia wakiwa wanasherekea ushindi wa rais Mohamed Abdullahi Mohamed, mjini Mogadishu REUTERS/Feisal Omar
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.