Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Changamoto za ukuaji wa maendeleo barani Afrika, wataalamu wanasemaje

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inaendelea kuangazia changamoto za ukuaji wa maendeleo na uchumi barani Afrika, mtayarishaji wa makala haya amezungumza na wadau wa masuala ya utafiti, ujasiriamali na uchumi, na kwa pamoja wanatathmini namna gari fursa zilizoko barani humo, zinaweza kutumiwa kukuza uchumi na maendeleo.

Makao makuu ya umoja wa Afrika, yaliyoko mjini Addis Ababa, Ethiopia.
Makao makuu ya umoja wa Afrika, yaliyoko mjini Addis Ababa, Ethiopia. RFI/Chanda
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.