Michezo ya kufuzu fainali za Afrika zaendelea kurindima
Michuano ya kuwania kufuzu fainali za Afrika imekuwa ikichezwa katika viwanja mbalimbali barani Afrika huku Uganda iking'ara, nayo Kenya ikitaraji kuipokea Togo mjini Nairobi. Ungana na Victor Abuso na Fredrick Nwaka viwanjani.
Kuhusu mada hiyo hiyo