Jukwaa la Michezo
Klabu za Afrika Mashariki na Kati zashindwa kuwika katika michuano ya Shirkisho barani Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 23:26
Klabu za soka kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, zipo mbioni katika michuano ya mzunguko wa mwisho, kufuzu katika hatua ya makundi, kuwania taji la Shirikisho barani Afrika, lakini pia tunaangazia kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama cha Riadha nchini Tanzania Wilhelm Gidabuday.