Jukwaa la Michezo
Tanzania, Uganda na Rwanda yafuzu fainali ya CHAN 2020
Imechapishwa:
Cheza - 24:00
Mataifa ya Tanzania, Uganda na Rwanda yamefuzu katika fainali ya CHAN kwa wachezaji wanaocheza soka barani Afrika mwaka 2020. DRC nayo pia imefuzu. Michuano hiyo itafanyika nchini Cameroon. Tunajadili michuano hii na maandalizi ya mataifa ya Afrika Mashariki.