Jukwaa la Michezo
Gor Mahia, Yanga na KCCA zaondolewa klabu bingwa Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 22:12
Michuano ya klabu bingwa Afrika imeendelea mwishoni mwa juma huku Gor Mahia, Yanga na KCCA zikiondolewa katika michuano ya klabu bingwa Afrika na mashindano ya riadha ya Doha Marathon yakumbwa na changamoto ya joto kali. Tunajadali haya katika jukwaa la michezo. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa michezo Aloyce Mchunga na Bonface Osano