Jukwaa la Michezo
Historia ya kituo cha michezo cha Alliance kilichopo Mwanza, kaskazini magharibi mwa Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 24:10
Makala ya Jukwaa la Michezo Jumapili ya Septemba 22, 2019 imeangazia historia, mafaniko na changamoto ambazo kituo hicho kinakabiliana nazo. Ungana na fredrick Nwaka akizungumza na Yusuph Budodi mwenyekiti wa kamati ya mashindano kituoni hapo.