Jukwaa la Michezo
Yanga, Gor Mahia zashindwa kuchanua klabu bingwa Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 22:04
Michuano ya klabu bingwa Afrika na Kombe la shirikisho imekuwa ikichezwa mwishoni mwa wiki hii huku klabu za Afrika Mashariki na Kati kama Yanga na Gor Mahia zikishindwa kufanya vyema. Tunatathimi ni kwa kina mashindano haya. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa kandanda Aloyce Mchunga na Bonface Osano.