Pata taarifa kuu
TANZANIA-PRISONS-TFF

Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars aaga dunia

Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Said Mtupa amefariki dunia jana Mkoani Mbeya.

Mchezaji wa zamani wa Prisons na Timu ya Taifa ya Tanzania
Mchezaji wa zamani wa Prisons na Timu ya Taifa ya Tanzania Instgram/Prisons
Matangazo ya kibiashara

Ripoti zilizochapishwa na ukurasa wa Instagram wa Timu ya Tanzania Prisons aliyoitumikia kwa miaka mingi zimesema mchezaji huyo alipata ajali ya pikipiki katika eneo la Iwambi jijini Mbeya.

Katika maisha yake ya soka aliitumikia Prisons akiwa sambamba na kaka yake Sahabn Mtupa.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.