Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Teknolojia ya VAR na changamoto zake barani Afrika

Imechapishwa:

Teknoloji ya Usaidizi wa video (VAR) kwa mara nyingine imeshindwa kuamua utata uliojitokeza katika mchezo wa fainali ya klabu bingwa Afrika baina ya Esperance ya Tunisia na Wydad casablanca ya Morocco. Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Bonface Osano na Juma Mudimi kutathimini kwa kina.

Teknolojia ya VAR ilianza kutumika katika fainali za Kombe la dunia 2018 zilizofanyika nchini Urusi
Teknolojia ya VAR ilianza kutumika katika fainali za Kombe la dunia 2018 zilizofanyika nchini Urusi The Times
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.