Jukwaa la Michezo
Mchango wa wachezaji kutoka barani Afrika katika maendeleo ya soka barani Ulaya
Imechapishwa:
Cheza - 23:58
Ligi ya soka nchini Uingereza imemalizika kwa klabu ya Manchester City kuibuka mshindi mbele ya Liverpool. Wachezaji kutoka barani Afrika kama Mohammed Salah, Sadio Mane miongoni mwa wengine wamekuwa na mchango gani katika mafanikio ya soka barani Ulaya ?