Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Dr. Mshindo Msolla achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa klabu ya Yanga

Imechapishwa:

Wanachama wa klabu ya kongwe nchini Tanzania ya Yanga, wamefanya uchaguzi wa viongozi wao ambao unatajwa kuwa unaweza kuivusha klabu hiyo katika changamoto inazopitia kwa sasa. Fredrick Nwaka nameungana na wachambuzi wa kandanda Juma Mudimi na Aloyce Mchunga kutathimini kwa kina.

Mwenyekiti mpya wa klabu ya Yanga, Dr Mshindo Msolla
Mwenyekiti mpya wa klabu ya Yanga, Dr Mshindo Msolla Global Publishers
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.