Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Eliud Kipchoge aandikisha rekodi mpya mbio za London Marathon

media Mwanariadha kutoka nchini Kenya Eliud Kipchoge akishangilia baada ya kumaliza wa kwanza katika mbio za London Marathon zilizofanyika leo nchini Uingereza AFP

Mwanariadha wa Kenya, Eliud Kipchoge ameweka rekodi mpya ya kushinda mbio za London Marathon mara nne mtawalia.

 

 

Kipchogfe ametetea ubingwa wake kwa kuweka rekodi ya aina yake akiwashinda wapinzani wake kwa karibu mwendo wa kilomita tatu.

Kipchoge ametumia saa 2:2:37 na kuvunja rekodi yake aliyoweka mwaka 2016 katika mbio hizo kwa kutumia muda wa saa 2:3:5.

Wanariadha kutoka Ethioipia Mosinet Geremew and Mule Wasihun wameshika nafasi ya pili na ya tatu.

Mwaka wa jana Kipchoge alitajwa kuwa mwanariadha mashuhuri duniani.

Mwanariadha ria wa Uingereza, Mo Farah a,mbaye hivi karibuni ameingia kwenye mzozo na mwanariadha Haile Gebrselassie alimaliza katika nafasi ya tano

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana