Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/09 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/09 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 22/09 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
 • Kampuni kubwa ya kitalii duniani Thomas Cook yafilisika
 • Kanisa Katoliki nchini Burundi laishtumu serikali ya Burundi
 • Chanjo ya pili ya Ebola kuanza kutolewa nchini DRC mwezi Oktoba
Michezo

Mwamuzi mwanamke kuchezesha mechi ya ligi kuu Ufaransa

media Stephanie Frappart (katikati) aliteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, kuchezesha mechi ya fainali ya Kombe la Dunia kwa upande wa wanawake wa wasiozidi miaka 20 (U20), nchini Ufaransa mnamo mwaka 2018. FFF/Twitter.com

Mwamuzi wa kwanza mwanamke, Stephanie Frappart, atachezesha mechi ya ligi kuu ya soka nchini Ufaransa, mwishoni mwa wiki hii, na anatarajia kuchezesha mechi nyingine za kimataifa katika miezi miwili au mitatu ijayo.

Stephanie Frappart atachezesha mechi muhimu kati ya Amiens na Strasbourg, kwa mujibu wa Shirikisho la soka nchini humo FFF.

Frappart ana umri wa miaka 35, ana ataweka historia hiyo baada ya kuchezesha mechi za ligue 2 tangu mwaka 2014.

Atachezesha pia michuano ya kombe la dunia itakayofanyika jijini Paris kati ya mwezi Juni na Julai.

Stephanie Frappart aliteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, kuchezesha mechi ya fainali ya Kombe la Dunia kwa upande wa wanawake wa wasiozidi miaka 20 (U20), nchini Ufaransa mnamo mwaka 2018.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana