Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/07 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/07 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Guinea watinga hatua ya fainali, michuano ya vijana

media Timu ya taifa ya Guinea ikimenyana na Nigeria katika nusu fainali ya mchezo wa soka kuwania ubingwa wa taji la Afrika kwa vijana wasiozidi miaka 17 jijini Dra es salaam Aprili 24 2019 RFI/Fredrick Nwaka

Time ya vijana ya Guinea Chini Ya Miaka 13 imefaulu Kucheza hatua ya fainali ya Michuano ya Afrika kwa vijana Chini ya Miaka 17 inayoendelea Jijini Dar es Salaam.

Timu Hiyo Kutoka Afrika Magharibi Imepata ushindi Wa mikwaju ya penati 10-9 baada ya Timu Hizo Kutoka Sare ya Bila kufungana Katika dakika 90 za mchezo.

Kwa Matokeo hayo Guinea itachuana na mshindi baina ya Cameroon na Angola ambazo pia zimekuwa zikichuana jana.

Mwandishi Wa RFI Kiswahil, Fedrick Nwaka aliyeshuhudia Mchezo huo, anasema Nigeria Licha ya Kupewa Nafasi Kubwa ilishindwa Kufua dafu.

Licha ya Kupoteza mchezo huo Nigeria, Sanjari Na Angola, Guinea na Cameroon Zitawakilisha bara la Afrika Katika Fainali za vijana zitakazochezwa Baadaye Mwaka huu Nchini Brazil.

 

 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana