Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Fainali ya kombe la Afrika kwa vijana yaanza nchini Tanzania

Imechapishwa:

Fainali ya vijana wasiozidi umri wa miaka 17 barani Afrika, imeanza jijini Dra es salaam nchini Tanzania.Wenyeji Serengeti Boys, wameanza vibaya kwa kufungwa na Eaglets ya Nigeria kwa mabao 5-4. Tunathathmini michuano hii kwa undani.

Michuano ya vijana barani Afrika
Michuano ya vijana barani Afrika www.cafonline.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.