Jukwaa la Michezo
Robo fainali ya michuano ya klabu bingwa na Shirikisho zapigwa
Imechapishwa:
Cheza - 23:30
Mechi za hatua ya robo fainali kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho, zimepigwa mwishoni mwa wiki hii. Gor Mahia ya Kenya ikiwa nyumbani, imefungwa na RS Berkane ya Morocco mabao 2-0 huku TP Mazembe ya DRC ikitoka sare ya 0-0 na Simba SC ya Tanzania, miongoni mwa mechi nyingine.