Jukwaa la Michezo
Kenya, Ethiopia na Uganda zang'ara mbio za nyika nchini Denmark
Imechapishwa:
Cheza - 24:06
Wanariadha kutoka mataifa ya Kenya, Ethiopia na Uganda wameng'ara katika mbio za nyika za dunia zilizofanyika nchini Denmark. Fredrick Nwaka ameungana na Aloyce Mchunga kutathimini kwa kina.