Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 07/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 07/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 07/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Timu nne kujitupa uwanjani katika mechi za kimataifa za kirafiki

media Quatre stades de l'Euro 2008 : Vienne, Bâle, Salzbourg et Zürich. Mechi nne za kimataifa za kirafiki zitapigwa Jumatano hii Machi 20 katika viwanja mbalimbali. (Source: UEFA)

Leo Jumatano usiku kutakuwa na mechi tatu za Kimataifa za kirafiki katika mchezo wa soka. Wales, Trinidad and Tobago, Ujerumani na Serbia watajitupa uwanjani.

Saa nne na dakika 45 saa za Afrika Mashariki (sawa na saa tatu na dakika 45 saa za Afrika ya Kati), Wales watakuwa wenyeji wa Trinidad and Tobago, lakini Ujerumani watakuwa wanamenyana na Serbia.

Mapema kuanzia saa 12 jioni, Iraq watachuana na Syria.

Wakati uo huo, maandalizi ya michuano ya kufuzu kucheza katika fainali ya bara Ulaya maarufu kama UEFA Euro mwaka 2020, inaendelea leo kuelekea mechi kuanza kuchezwa kesho.

Miongoni mwa mechi zitazochezwa kesho ni pamoja na Ubelgiji dhidi ya Urusi, Israel na Slovenia, Austria na Poland, miongoni mwa mengine.

Mabingwa watetezi wa taji hili ni Ureno.

Michuano hiyo itachezwa katika mataifa 12 barani Ulaya kati ya mwezi Juni na Julai.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana