Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Gor Mahia kuwakosa wachezaji wake wanne

media Gor Mahia FC yawakatisha tamaa Petro Atletico ya Angola kuendelea katika robo fainali, kuwania taji la Shirikisho barani Afrika. Tony Anelka/Twitter.com

Klabu ya Gor Mahia nchini Kenya, itawakosa wachezaji wanne katika mechi ya robo fainali kuwania taji la Shirikisho barani Afrika, baada ya kuiadhibu Petro Atletico ya Angola katika uwanja wa nyumbani wa Kasarani.

Miongoni mwa wachezjai hao ni pamoja na kiungo wa kati Ernest Wendo na Beki Shafik Batambuze walioneshwa kadi nyekundu wakati walicheza na Petro Atletico ya Angola Jumapili iliyopita, mechi ambayo Gor Mahia ilishinda kwa bao 1-0.

Haroun Shakava na naibu Nahodha Jacques Tuyisenge nao watakosa mechi hiyo, kwa sababu wana kadi nyingi za njano.

Gor Mahia inaratajiwa kucheza na RS Berkane, ya Morocco, CS Sfaxien ya Tunisia au Hilal ya Sudan.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana