Jukwaa la Michezo
Simba yashindwa kufua dafu, michuano ya klabu bingwa Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 21:00
Simba SC ya Tanzania imeendelea kupata matokeo mabaya katika mechi za hatua ya makundi za Ligi ya mabingwa Afrika.Sababu gani zinapelekea matokeo mabaya kwa klabu za Tanzania na hata Afrika mashariki katika michuano ya klabu Afrika na nini suluhu? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Samwel John na Bonface Osano kutathimini kwa kina.