Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/10 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/10 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/10 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Taji la klabu bingwa barani Afrika: CS Constantine yaongoza

media Nashabiki wa timu za Algeria katika uwanja wa Julai 5, 1962 Farouk Batiche / AFP

CS Constantine ya Algeria ndio klabu pekee ambayo imepata ushindi katika mechi mbili ambazo imecheza hadi sasa, katika harakati za kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika.

Mwishoni mwa wiki iliyopita, CS Constantine iliishinda TP Mazembe ya DRC mabao 3-0 katika mechi yake ya pili iliyocheza nyumbani kayika uwanja wa Mohamed Hamlaoui.

Mechi ya kwanza, iliishinda Club Africain ya Algeria bao 1-0 mjini Sousse wiki mbili zilizopita.

Klabu hii inaongoza kundi la C kwa alama sita, ikifuatwa na Club Africain na TP Mazembe ambazo zina alama moja, huku Ismaily ya Misri ikiwa ya mwisho bila alama.

Matokeo mengine,

Kundi A:-

ASEC Mimosas (Ivory Coast) 1-0 Lobi Stars (Nigeria)

Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini) 2-1 Wydad Casablanca (Morocco)

Kundi B:-

Esperiance de Tunis (Tunisia) 2-0 FC Platinum (Zimbabwe)

Orlando Pirates (Afrika Kusini) 3-0 Horoya (Guinea)

Kundi D:-

JS Saoura (Algeria) 1-1 Al-Ahly (Misri)

AS Vita Club (DRC) 5-0 Simba (Tanzania)

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana