Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/08 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/08 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/08 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Droo ya AFCON kwa vijana yatolewa, Nigeria na Cameroon watenganishwa

media Droo ya michuano ya vijana wasiozidi miaka 17 www.cafonline.com

Wapinzani Nigeria na Cameroon wametenganishwa katika michuano ya hatua ya makundi kuwania kombe la Afrika kwa vijana wasiozidi miaka 17 itakayochezwa mwaka 2019 nchini Tanzania.

Droo hiyo ilifanyika Alhamisi usiku jijini Dar es salaam, kuelekea michuano hiyo itakayochezwa mwezi Aprili.

Timu nyingine iliyopangwa katika kundi hilo ni pamoja na wenyeji Tanzania na jirani zao Uganda, ambao watacheza katika michuano hii kwa mara ya kwanza pamoja na Angola.

Cameroon ambao walishinda taji hili mwaka 2003, wamepangwa katika kundi moja na Guinea, Morocco na Senegal.

Michuano hiyo itatumiwa pia kutafuta nchi tatu, zitakazoliwakilisha bara la Afrika katika fainali za kombe la dunia nchini Peru mwaka ujao.

Kundi A – Tanzania, Nigeria, Angola, Uganda

Kundi B – Cameroon, Guinea, Morocco, Senegal.

 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana