sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/06 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/06 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

CAF: Hatujafikia uamuzi wa kuipa nafasi Cote d'Ivoire kuwa mwenyeji wa AFCON 2023

media Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad CRISTINA ALDEHUELA / AFP

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limesema halijafikia uamuzi wowote wa kuipa nafasi nchi ya Cote d'Ivoire kuwa mwenyeji wa fainali ya kombe la Afrika mwaka 2023 badala ya mwaka 2021.

Kauli hii ya CAF imekuja, baada ya rais wa Shirikisho hilo Ahmad Ahmad kunukuliwa akisema kuwa Cameroon imepewa nafasi ya kuwa mwenyeji mwaka 2021.

Cameroon iliondolewa uwenyeji wa kuandaa fainali za mwaka 2019, kwa sababu ya maandalizi mabaya lakini pia suala la usalama.

Cote d'Ivoire imekwenda katika Mahakama ya Kimataifa ya Michezo, kupinga uwezekano wowote wa kupokonywa haki za kuandaa fainali za mwaka 2021.

Wakati huo huo, mwenyeji wa AFCON mwaka 2019, anatarajiwa kutajwa tarehe 9 mwezi Januari 2019.

Misri na Afrika Kusini zimethibitisha kuwa mwenyeji wa fainali hiyo itakayofanyika kati ya mwezi Juni na Julai na kwa mara ya kwanza, mataifa 24 yanatarajiwa kushiriki.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana