Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 17/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Soka: PSG-Manchester United na Lyon-Barça watarajia kujitupa uwanjani katika Ligi ya Mabingwa

media Wachezaji wa Paris Saint-Germain katika mazoezi kabla ya mechi yao Ligi ya Mabingwa dhidi ya Liverpool, Septemba 17, 2018. Action Images via Reuters/Jason Cairnduff

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Uingereza Manchester United na klabu ya Ufaransa ya PSG watajitupa uwanjani kupimana nguvu katika hatua ya 16 bora Ligi ya Klabu Bingwa barani Ulaya.

Nao Manchester City watamenyana na Schalke ya Ujerumani. Uamuzi huo umetolewa baada ya droo kufanywa.

Paris Saint Germain (PSG) hawajashindwa msimu huu katika ligi ya nyumbani ambapo wanaongoza wakiwa na alama 44 kutoka mechi 16.

Kwa upande wa Schalke wamo nafasi ya 13 Bundesliga na wameshinda mechi nne pekee kati ya 15.

Schalke walimaliza wa pili Kundi D nyuma ya Porto lakini mbele ya Galatasaray na Lovomotiv Moscow.

Timu nyingine ambao zimepangiwa kucheza ni pamoja na Liverpool kukutana na Bayern Munich, Lyon kuvumbuana na Barcelona, huku Ajax wakizipiga na Real Madrid.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana