Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 05/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 05/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 05/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

AS Vita yajiweka pagumu katika taji la Shirikisho Afrika

media Wachezaji wa Raja Casablanca wakishangilia baada ya kupata ushindi dhidi ya AS Vita ya DRC CAF Online

Klabu ya AS Vita Club itakuwa na kibarua kigumu siku ya Jumapili jijini Kinshasa, katika fainali ya pili ya kuwania taji la Shirikisho barani Afrika.

Hii ni kutokana na matokeo mabaya ya kufungwa mabao 3-0 na klabu ya Raja Casablanca ya Morocco katika fainali ya kwanza iliyochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Casablanca katika uwanja wa Mohammed wa tano.

Raja Casablanca ilianza vema katika dakika ya 47, baada ya Soufiane Rahimi kupachika bao na kufunga la pili katika dakika 61.

Mambo yalikuwa mabaya zaidi kwa AS Vita Club, baada ya Mahmoud Benhalib kuifungia klabu yake bao la tatu kupitia mkwaju wa penalti.

Raja Casablanca ilishinda taji hili mara moja, mwaka 2003.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana