sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/06 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/06 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Emerging Stars wajiweka kwenye nafasi nzuri

media Beki wa timu ya taifa ya soka ya Kenya, inayowajumuisha wachezaji wenye chini ya umri wa miaka 23, Johnstone Omurwa (katikati) kisherehekea bao la kwanza dhidi ya Mauritiusakiwa pamoja na Joseph Okumu na Chrispinus Onyango. Football Kenya Federation/twitter.com

Timu ya taifa ya soka ya Kenya, inayowajumuisha wachezaji wenye chini ya umri wa miaka 23, walianza vema kampeni ya kufuzu katika fainali ya bara Afrika mwaka 2019 nchini Misri, baada ya kuifunga Mauritus mabao 5-0.

Emerging Stars, ilipata ushindi huo mkubwa katika mechi iliyochezwa siku ya Jumatano jioni latika uwanja wa Kimataifa wa Kasarani jijini Nairobi.

Mabao ya Johnston Omurwa, James Mazembe, Piston Mutamba, Sidney Lokale na Joseph Okumu yanaiweka Kenya katika nafais nzuri ya kufuzu katika hatua ya pili ya michuano hiyo, itakaporudiana na Mauritius tarehe 18 mwezi huu.

Matokeo zaidi:-

Burundi2-0 Tanzania

Ethiopia 4-0 Somalia

Rwanda 0-0 DRC

Uganda 1-0 Sudan Kusini

Ushelisheli 1-1 Sudan

Mataifa nane yatafuzu kushiriki katika fainali hiyo. Nigeria ndio mabingwa watetezi.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana