Pata taarifa kuu
AFCON-CHINI YA MIAKA 23-CAF-SOKA

Vijana waanza kupambana kufuzu fainali za Afrika na Olimpiki

Mechi za timu za taifa za mchezo wa soka kufuzu kwa fainali ya mwaka 2019 kwa wachezaji wasiozidi miaka 23 barani Afrika, zinachezwa kuanzia siku ya Jumatano.

Nembo ya michuano ya vijana wasiozidi miaka 23 barani Afrika
Nembo ya michuano ya vijana wasiozidi miaka 23 barani Afrika www.cafonline.com
Matangazo ya kibiashara

Mataifa nane yatafuzu kushiriki katika fainali hiyo, itakayochezwa nchini Misri mwezi Novemba mwaka 2019. Nigeria ndio mabingwa watetezi.

Mashindano ya bara Afrika kufanyika kila baada ya miaka minne.

Timu tatu bora, zitafuzu katika fainali ya michezo ya Olimpiki nchini Japan mwaka 2020.

Afrika Kusini,Zimbabwe, Zambia, Congo Brazzaville, Gabon, Algeria, Sierra Leone, Tunisia, Ivory Coast, Senegal, Nigeria, Morocco na Mali zimefuzu katika hatua ya pili ya michuano hii.

Ratiba ya mzunguko wa kwanza, mechi za kufuzu katika fainali hiyo ya Afrika ni pamoja na:-

Jumatano Novemba 14 2018 :-

Jijini Bujumbura, Bujumbura

Burundi v Tanzania

Jijini Addis Ababa

Ethiopia v Somalia

Jijini Nairobi

Kenya v Mauritius

Mjini Rubavu, Rwanda

Rwanda v DRC

Jijini Victoria

Ushelisheli v Sudan

Jijini Kampala

Uganda v Sudan Kusini

Jijini Nouakchott

Mauritania v Guinea

Jijini Malabo

Equatorial Guinea v Sao Tome e Principe

Ijumaa Novemba 16 2018

Jijinii Yaounde

Cameroon v Chad

Jijini Luanda

Angola v Namibia

Mjini Kumasi, Ghana

Ghana v Togo

Jijini Maputo

Mozambique v eSwatini

Jijini Ouagadougou

Burkina Faso v Niger

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.