Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Rekodi yaibeba Al Ahly, mechi ya marudiano klabu bingwa Afrika dhiai ya Esperance

media Nyota wa Al Ahly Walid Azaro akichuana na mchezaji wa Espérance de Tunis, Chamseddine Dhaouadi katika mchezo wa kwanza wa fainali uliochezwa Novemba 2, 2018. KHALED DESOUKI / AFP

Timu ya Esperance ya Tunisia leo usiku inaipokea Al Ahly ya Misri katika mechi ya marudiano ya Ligi ya mabingwa Afrika huku ikiwa nyuma kwa mabao 3-1.

 

Mchezo baina ya Timu hizo utachezwa katika Uwanja wa Olimpiki Rades uliopo katika Jiji la Rades nchini Tunisia.

Al Ahly iliwasili nchini Tunisia siku ya Ijumaa kwa ajili ya mchezo huo unaokutanisha miamba katika soka la Afrika.

Hata hivyo rekodi baina ya Timu hizo inaibeba Ahly ambao ni mabingwa mara nane wa michuano hiyo.

Timu hizo zimekutana mara 17 ambapo Esperance imeshinda mara tatu wakati wapinzani wao wameshinda michezo sita na kutoka sare mara nane.

 

Walid Azaro Chamssedine Dhuouad

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana