sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/06 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/06 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

CAF yamchukuliwa hatua kali rais wa zamani wa Shirikisho la soka Ghana

media Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka la Ghana Kwesi Nyantakyi. REUTERS

Rais wa zamani wa Shirikisho la soka nchini Ghana, na Makamu rais wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF, Kwesi Nyantakyi, amefungiwa maisha na Shirikisho la soka duniani FIFA, kutojihusisha na masuala ya soka katika muda wake wa maisha.

Hatua hii imefikiwa baada ya FIFA, kubaini kuwa alihusika na rushwa baada ya kuonekana alipokea Dola 65,000 kutoka kwa mwanahabari aliyekuwa anafanya uchunguzi kuhusu suala la ufisadi katika mchezo wa soka.

Mbali na adhabu hiyo kali, Nyantakyi ametozwa faini ya Franca za Uswisi 500,000.

Nyantakyi, alijiuzulu mwezi Juni baada ya kuonekana kwa ripoti ya uchunguzi iliyotolewa na Mwanahabari Anas Aremeyaw Anas akionekana akipokea rushwa, madai ambayo aliyakanusha. Haijafahamika iwapo atakata rufaa.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana