Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 09/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 09/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 09/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Mechi za Ligi ya Europa kuchezwa leo barani Ulaya

media Nyota wa Arsenal Alexandre Lacazette na Pierre-Emerick Aubameyang wanatazamiwa kuongoza kikosi cha Arsenal kitakachochuana na Sporting Lisbon ya Ureno REUTERS/Eddie Keogh

Michuano ya Europa League kwa ngazi ya klabu inaendelea leo kwa mechi mbalimbali kuchezwa katika Miji tofauti barani Ulaya.

Mashindano hayo ni ya pili kwa ukubwa kwa ngazi ya klabu barani Ulaya, yakitanguliwa na michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya.

RB Leipzg itakuwa mgeni wa Celtic ya Scotland, Arsenal imesafiri hadi nchini Ureno ambako itachuana na Sporting Lisbon wakati Chelsea ya Uingereza itaipokea BATE Borisov ya Bulgaria.

Mechi nyingine ni kama ifuatavyo.

Rangers itachuana na Spartak Moscow

RB Salzburg itachuana na Rosenburg ya Norway

Zenit St Petersburg itachuana na Bordeaux ya Ufaransa

Anderlect ya Ubelgiji itapambana na Fenerbance ya Uturuki

FC Copenhagen itapambana na Slavia Prague

 

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana