Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Cameroon yasema iko tayari kuandaa fainali za Afrika mwaka 2019

Imechapishwa:

Serikali ya Cameroon imesema iko tayari kuandaa fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2019 licha ya kukabiliwa na changamoto za miundombinu. Victor Abuso ameungana na Fredrick Nwaka kukuletea uchambuzi wa kina kuhusu hili na matukio mengine ya kimichezo.

Cameroon ilishinda taji la Afrika mwaka 2017 ilipoishinda Misri mabao 2-1
Cameroon ilishinda taji la Afrika mwaka 2017 ilipoishinda Misri mabao 2-1 RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.