Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/10 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/10 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/10 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Korea Kusini na Kaskazini zakubaliana kuandaa michuano ya Olimpiki ya mwaka 2032

media Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in (kushoto) na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, Jumatano, Septemba 19, 2018 Pyongyang. Pyeongyang Press Corps/Pool via REUTERS

Nchi za Korea Kusini na Korea Kaskazini zimekubaliana kutuma ombi la pamoja la kuandaa michuano ya Olimpiki ya mwaka 2032.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya mkutano wa pamoja baina ya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un na rais wa Korea Kusini Moon Jae In.

Mataifa hayo mawili kwa pamoja yaliandaa mashindano ya Asia, ikiwa ni ishara ya kuimarisha uhusiano baina yao.

Hata hivyo ombi la Korea Kaskazini na Kusini linatazamiwa kupata upinzani kutoka kwa mataifa ya Australia, China na Indonesia ambayo pia yananuia kuandaa mashindano hayo.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana