sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/06 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/06 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Dirisha kuu la usajili wa wachezaji lafungwa Uingereza

media Klabu zinazocheza ligi nyingine England na Wales, ikiwa ni pamoja na ligi za Championship, League One na League Two bado zinaweza kuendelea kuwanunua wachezaji hadi mwisho wa mwezi huu. REUTERS

Klabu za Everton na Fulham na Lecester City nchini Uingereza, walifanya usajili mkubwa lakini kwa mara ya kwanza katika historia ya ligi kuu ya soka nchini humo, kiwango kilichotumiwa kusajili wachezaji wapya kilipungua kwa Pauni Bilioni 1.2 ndani ya miaka minane.

Siku ya Alhamisi ilikuwa siku ya mwisho ya kuwasajili wachezaji.

Tottehnham Hotspurs ndio klabu pekee ambayo haikumsajili mchezaji yeyote msimu huu.

Usajili mkubwa hata hivyo umekuwa ni kwa Everton ambayo imemnunua mchezaji Yerry Mina kutoka Barcelona kwa Pauni Milioni 27.

Klabu zinazocheza ligi nyingine England na Wales, miongoni mwake ligi za Championship, League One na League Two bado zinaweza kuendelea kuwanunua wachezaji hadi mwisho wa mwezi huu.

Soko la kuhama wachezaji Scotland pia litafungwa 31 Agosti sawa na katika mataifa mengine Ulaya.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana