Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/11 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/11 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Wanariadha wa Kenya walakiwa kwa vifijo na nderemo

media Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akikabidhi bendera ya Kenya kwa wanariadha na wanamichezo wa nchi hiyo wanaoenda kushiriki michezi ya Olimpiki ya Rio, 22 Julai 2016 Kenya Government

Wanariadha wa Kenya waliokuwa wa kwanza katika mashindano yaliyokamilika Jumapili iliyopita, nchini Nigeria wamerejea nyumbani. Serikali ya Kenya imeelezea furaha yake kwa matokeo hayo mazuri .

Waliwasili jijini Nairobi, na kulakiwa kwa vifijo na nderemo na maafisa wa serikali na ndugu zao katika uwanja wa ndege za Kimataifa wa Jomo Kenyatta.

Licha ya mazingira magumu waliyokabiliana nayo kuelekea katika mashindano hayo ikiwa ni pamoja na kukosa ndege kutoka Lagos kwenda mjini Asaba, Kenya ilimaliza ya kwanza kwa medali 19 zikiwemo 11 za dhahabu.

Serikali ya Kenya, ikiongozwa na rais Uhuru Kenyatta imesema imefurahishwa sana na matokeo hayo mazuri yanayoonesha kuwa Kenya inasalia makao makuu ya mchezo wa riadha barani Afrika na duniani.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana